JINSI WASANII WANAVYOWEZA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA NYIMBO ZAO MPYA
Mitandao ya kijamii licha ya kuwa sehemu nzuri kwa wafanyabiashara kutangaza, kuuza na kununua bidhaa na huduma lakini pia imekuwa sehemu kubwa kwa wasanii wa muziki kuwafikia walengwa wa kazi zao kwa urahisi na haraka zaidi. Siku hizi watu wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi na simu zao hasa kwenye mitandao ya kijamii, jambo ambalo msanii …
JINSI WASANII WANAVYOWEZA KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUTANGAZA NYIMBO ZAO MPYA Read More »